Posts

KUJIUDHULU KWA MECK SADIKI

Aliye kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh Saidi Meck Sadiki amekuwa na haya ya kusema baada ya kujiudhulu kwake.Amesema kwamba " kujiudhulu kwake ni mfumo wa mabadiliko ya kiongozi.